KCPE Past Papers 2022 Insha

Umepewa dakika 40 kuandika Insha

Andika Insha inayomalizika kwa maneno Yafuatayo

…..Tulikutana tena baada ya tukio hilo la wema.Ulikuwa umepita muda mrefu lakini bado nilimshukuru.